Lyric provided by www.seekalyric.com |
Intro; (Lamer) Talk of the town.. Lamer.. Its A Fish Crub Cook out aaah.. Its a Fish Crub Cook out AAAAAAH Verse 1 (Cheda Mtembezi) Nahisi kama giza na hisi kama sioni Cheda the boss kama don kalioni Ni kama hadith ya penzi kama Complex na Viviani Nna hisi kama presh naweza nikafa darling Usiende mbali ingawa sio hatari Sogeza mwili karibu tule zabibu Kama mtabili tabili What my dress code Nayoweza kuiafod, iwe kipindi cha joto au baridi Wanazusha maneno wakiona tunasonga pembezoni mwa road Hip hop kama kawa tunakula kwenye ipod We ndo mke wangu wengine wanafoji Ndomana George Poji Ananiita mwangaikaji Nna doji mitikasi inabana ndomaana inashindikana sometimes kuonana haina maana nipo BUSY.. Chorus;(Beka Title) AAh AAAh AAAH Sitachoka Mpenzi kukuwaza we kimwana Kwenye shida na raha sitokukana Ndomaana kwamba mii nakuhitaji sana Yo mama AAAH Alove you so much... (Repeat Chorus) Verse 2;(Bosa Jesus) Ma Snitch wana talk shit wengine Bosa umezidisha pombe full gambe Ok usiwe na wasi ila nyasi tutachoma haina noma tuishi kisela kama Ezzy Na Rehema mwanaharakati kama Obama More money Bosa sasa Don sio kama zamani Sitaki compleni i cant use cocaine Nimeshakili we ni mzuri mbona unanifanyia ukatili Sio siri sio dili sipati tafsiri sio vizuri Nikukose mid night one love dady no kibuti Wanasaruti wazungu hadi mapusha Dar mpaka Arusha Soft kama Leather mtam kama fedha Kitaa nna n'gaa na machizi wa mazabe Full msimamo kama president Mugabe Una Lips ka Latoya mrefu ka Nakaaya Temana na maboya kabla hatujala piza Tuanze na bagia skia nafanya mziki nieskepu dhiki Nakwenda ress ili usitoke nduki Mambo yakiwa poa ni full kujiachia Hata Lamer si anajua Wapagazi Mobb Sychogcal AAh The Phisical Chorus;(Beka Title) AAh AAAh AAAH Sitachoka Mpenzi kukuwaza we kimwana Kwenye shida na raha sitokukana Ndomaana kwamba mii nakuhitaji sana Yo mama AAAH Alove you so much... (Repeat Chorus) Outro:(Bosa Jesus) Najua unataka kujua sisi niwakina nani Bonge Mlope ndo ametuweka kwenye ramani yeah big up kwa machizi wa maskani Na madem wote wa Tegeta nyumbani Tupo na Beka B Wa B.O.B |