Lyric provided by www.seekalyric.com

mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,
usinilenge mi malanga aa,
sina mengi mimi nina shairi mashairi

chorus
oooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika
wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika

we uje nizalie musichana

nami nikupe wewe kijana
penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu!

chorus

wo wo woouuux2
ooooh ni wewe tuu,ni wewe napeeendaa niwewe wewe
ni wewe nataka
africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee