Cheda Mtembezi - Kimwana Lyrics

  • Artist/Band:
  • Album:
  • Song Title:
  • Text Options:
  • Share & Like:

Intro; (Lamer)
Talk of the town..
Lamer..
Its A Fish Crub Cook out
aaah..
Its a Fish Crub Cook out
AAAAAAH
Verse 1 (Cheda Mtembezi)
Nahisi kama giza na hisi kama sioni
Cheda the boss kama don kalioni
Ni kama hadith ya penzi kama Complex na Viviani
Nna hisi kama presh naweza nikafa darling
Usiende mbali ingawa sio hatari
Sogeza mwili karibu tule zabibu
Kama mtabili tabili What my dress code
Nayoweza kuiafod, iwe kipindi cha joto au baridi
Wanazusha maneno wakiona tunasonga pembezoni mwa road
Hip hop kama kawa tunakula kwenye ipod
We ndo mke wangu wengine wanafoji
Ndomana George Poji Ananiita mwangaikaji
Nna doji mitikasi inabana ndomaana inashindikana
sometimes kuonana haina maana nipo BUSY..

Chorus;(Beka Title)
AAh AAAh AAAH
Sitachoka Mpenzi kukuwaza we kimwana
Kwenye shida na raha sitokukana
Ndomaana kwamba mii nakuhitaji sana
Yo mama AAAH Alove you so much... (Repeat Chorus)

Verse 2;(Bosa Jesus)
Ma Snitch wana talk shit wengine Bosa umezidisha pombe full gambe
Ok usiwe na wasi ila nyasi tutachoma haina noma tuishi kisela
kama Ezzy Na Rehema mwanaharakati kama Obama
More money Bosa sasa Don sio kama zamani
Sitaki compleni i cant use cocaine
Nimeshakili we ni mzuri mbona unanifanyia ukatili
Sio siri sio dili sipati tafsiri sio vizuri
Nikukose mid night one love dady no kibuti
Wanasaruti wazungu hadi mapusha Dar mpaka Arusha
Soft kama Leather mtam kama fedha
Kitaa nna n'gaa na machizi wa mazabe
Full msimamo kama president Mugabe
Una Lips ka Latoya mrefu ka Nakaaya
Temana na maboya kabla hatujala piza
Tuanze na bagia skia nafanya mziki nieskepu dhiki
Nakwenda ress ili usitoke nduki
Mambo yakiwa poa ni full kujiachia
Hata Lamer si anajua Wapagazi Mobb Sychogcal AAh The Phisical

Chorus;(Beka Title)
AAh AAAh AAAH
Sitachoka Mpenzi kukuwaza we kimwana
Kwenye shida na raha sitokukana
Ndomaana kwamba mii nakuhitaji sana
Yo mama AAAH Alove you so much... (Repeat Chorus)

Outro:(Bosa Jesus)
Najua unataka kujua sisi niwakina nani
Bonge Mlope ndo ametuweka kwenye ramani
yeah big up kwa machizi wa maskani
Na madem wote wa Tegeta nyumbani
Tupo na Beka B Wa B.O.B

Search Song Lyrics
Browse Artists

A B C D E F G H I J K L M N
O P Q R S T U V W X Y Z #

Hide preview
Lyrics and Video Widget:

Code for your site/blog/space

Click above to select the code then right click & copy to get the code to paste onto your site/blog